Swali: Je, picha za pasipoti zinakuwa…

Jibu: Kile ambacho ni kwa ajili ya dharurah kinasamehewa. Ambacho ni kwa ajili ya dharurah na si kwa kutaka kwa mtu kina hukumu sawa na aliyetenzwa nguvu. Mfano wa picha hizo ni kama ya leseni, pasipoti, waharibifu na picha za wahalifu wanaotafutwa kwa ajili ya kukamatwa na kufungwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24804/ما-ضابط-الضرورة-في-اباحة-الصور
  • Imechapishwa: 14/12/2024