Mdaiwa anaruhusiwa kwenda katika jihaad?

Swali: Ni haramu kwa mtu kwenda jihaad ilihali yuko na deni?

Jibu: Ikiwa anaweza kulipa basi alipe. Akiwa hawezi basi aende katika jihaad. Haina neno. Ni mwenye kupewa udhuru.

Swali: Deni linakuwa limening´inizwa juu yake?

Jibu: Limening´inizwa; akiweza atalipa. Vinginevyo si lazima.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22887/ما-حكم-الذهاب-للجهاد-لمن-عليه-دين
  • Imechapishwa: 28/05/2025