Swali: Je, inafaa kuwa kuwapa pesa Ahl-ul-Bid´ah ili waweze kutengeneza misikiti yao pamoja na kuzingatia kwamba wako watu wenye kushikamana na Sunnah wanaoswali ndani yake?

Jibu: Haitakiwi kuwapa swadaqah Ahl-ul-Bid´ah ili kuwanusuru na kuwasaidia juu ya Bid´ah zao. Yule mwenye kumtolea mchango mzushi anashirikiana naye katika dhambi zaake.

  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Iydhwaah-ud-Dhwalaalah fiy Wujuub-il-Hadhar min Du´aat-idh-Dhwalaalah, uk. 9
  • Imechapishwa: 17/07/2020