Swali: Je, inafaa kuwa kuwapa pesa Ahl-ul-Bid´ah ili waweze kutengeneza misikiti yao pamoja na kuzingatia kwamba wako watu wenye kushikamana na Sunnah wanaoswali ndani yake?
Jibu: Haitakiwi kuwapa swadaqah Ahl-ul-Bid´ah ili kuwanusuru na kuwasaidia juu ya Bid´ah zao. Yule mwenye kumtolea mchango mzushi anashirikiana naye katika dhambi zaake.
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Iydhwaah-ud-Dhwalaalah fiy Wujuub-il-Hadhar min Du´aat-idh-Dhwalaalah, uk. 9
- Imechapishwa: 17/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)