Swali: Baadhi ya mbwa waliyopewa mfunzo wa mawindo wanavamia, wanang´ata shingoni mpaka wanakufa bila ya kutoka damu yoyote. Je, inafaa kula kiwindwa hicho?
Jibu: Ndio, inafaa kukila:
وَمَا عَلَّمْتُم مِّنَ الْجَوَارِحِ مُكَلِّبِينَ تُعَلِّمُونَهُنَّ مِمَّا عَلَّمَكُمُ اللَّـهُ ۖ فَكُلُوا مِمَّا أَمْسَكْنَ عَلَيْكُمْ وَاذْكُرُوا اسْمَ اللَّـهِ عَلَيْهِ ۖ وَاتَّقُوا اللَّـهَ ۚ إِنَّ اللَّـهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
”… na wale mnaowafunza katika ambayo Allaah amekufunzeni. Basi kuleni walichokukamatieni na mkitajie jina la Allaah; na mcheni Allaah, hakika Allaah ni mwepesi wa kuhesabu.”[1]
[1] 05:04
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 14/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)