Mbwa mwitu na ngozi yake wakati wa matabano

45 – Aliulizwa kuhusu baadhi ya wasomaji kutumia mbwa mwitu?

Jibu: Hili halina msingi wowote.

46 – Ikasemwa kuambiwa Shaykh kwamba wasomaji wanasema amethibitika kwa majaribio na ana faida.

Jibu: Halina msingi wowote. Vivyo hivyo kutumia ngozi ya mbwa mwitu. Hili linaweza kuwa miongoni mwa aina ya hirizi zilizokatazwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 39
  • Imechapishwa: 07/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´