Wanatambua kwamba nchi ya mayahudi (دولة اليهود), na si kwamba ni “Israaiyl”… Ni wajibu mtahadhari. Haijuzu kuwashaji´isha mayahudi kuita nchi yao “Israaiyl”. Kuiita kwa neno lingine mbali na “mayahudi” kunasababisha mapambano ya waislamu dhidi ya mayahudi kwenda matupu. Hii ni siasa ya vyombo vya khabari. Wangereza ndio walikuwa wa mwanzo kuwawezesha mayahudi kuasisi nchi. Baada ya hapo Marekani.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (836)
- Imechapishwa: 15/02/2019
Wanatambua kwamba nchi ya mayahudi (دولة اليهود), na si kwamba ni “Israaiyl”… Ni wajibu mtahadhari. Haijuzu kuwashaji´isha mayahudi kuita nchi yao “Israaiyl”. Kuiita kwa neno lingine mbali na “mayahudi” kunasababisha mapambano ya waislamu dhidi ya mayahudi kwenda matupu. Hii ni siasa ya vyombo vya khabari. Wangereza ndio walikuwa wa mwanzo kuwawezesha mayahudi kuasisi nchi. Baada ya hapo Marekani.
Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (836)
Imechapishwa: 15/02/2019
https://firqatunnajia.com/mayahudi-na-sio-israaiyl/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)