Swali: Ni ipi hukumu ya mavazi yanayotokana na fedha?

Jibu: Hapana vibaya kwa hilo kwa wanaume na wanawake wote.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24801/حكم-لبس-الفضة
  • Imechapishwa: 14/12/2024