Swali: Je, mwanamke aliyeachwa mara tatu ana haki ya kupewa matumizi na makazi?

Jibu: Ikihukumiwa kuwa ameachwa talaka ya mtengano. Talaka ya mtengano ni mara tatu au kwa yeye kujivua. Katika hali hiyo hana matumizi. Matumizi yanakuwa kwa mwenye talaka rejea ikiwa bado ana haki ya kumrejea.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24659/هل-للمطلقة-ثلاثا-النفقة-والسكنى
  • Imechapishwa: 22/11/2024