Matabano maalum na matabano ya kawaida

Swali: Ni ipi hukumu ya kugawa matabano maalum ambayo bei yake ni fulani na…

Jibu: Hakuna jengine wanachotaka isipokuwa pesa. Matabano ni moja na haigawanywi kwa njia ya kwamba kuna matabano maalum ambayo bei yake ni fulani na matabano ya kawaida ambayo bei yake ni fulani. Ni batili na hayajuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 26/02/2022