Swali: Nilimkataza mke wangu vazi ambalo wanachuoni walitoa fatwa kutojuzu kulivaa kwa kumwambia “wewe kwangu ni haramu [ukivaa]”. Mara ya kwanza akaitikia, lakini hata hivyo akalivaa kwa mara ya pili kwa kusahau – kama alivyosema. Ni lipi la wajibu juu yangu katika hali kama hii?
Jibu: Masuala haya yanahitajia kuzingatiwa. Ni jambo lenye julikana ya kwamba watu ni wenye kupewa udhuru [wakati wa kusahau]. Allaah Amesema:
لَا يُكَلِّفُ اللَّـهُ نَفْسًا إِلَّا وُسْعَهَا
”Allaah hakalifishi nafsi yoyote isipokuwa kwa kadiri ya uwezo wake.” (02:286)
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Ummah wangu ni wenye kusamehewa makosa ya kusahau na waliyotenzwa nguvu.”
Masuala haya yanatakiwa kuzingatiwa. Ninachomnasihi muulizaji aende [katika kamati] ya kufutu.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=11647
- Imechapishwa: 17/11/2014
Swali: Nilimkataza mke wangu vazi ambalo wanachuoni walitoa fatwa kutojuzu kulivaa kwa kumwambia “wewe kwangu ni haramu [ukivaa]”. Mara ya kwanza akaitikia, lakini hata hivyo akalivaa kwa mara ya pili kwa kusahau – kama alivyosema. Ni lipi la wajibu juu yangu katika hali kama hii?
Jibu: Masuala haya yanahitajia kuzingatiwa. Ni jambo lenye julikana ya kwamba watu ni wenye kupewa udhuru [wakati wa kusahau]. Allaah Amesema:
لَا يُكَلِّفُ اللَّـهُ نَفْسًا إِلَّا وُسْعَهَا
”Allaah hakalifishi nafsi yoyote isipokuwa kwa kadiri ya uwezo wake.” (02:286)
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Ummah wangu ni wenye kusamehewa makosa ya kusahau na waliyotenzwa nguvu.”
Masuala haya yanatakiwa kuzingatiwa. Ninachomnasihi muulizaji aende [katika kamati] ya kufutu.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=11647
Imechapishwa: 17/11/2014
https://firqatunnajia.com/maswali-ya-ndoa-yanapelekwa-katika-baraza-la-wanachuoni-wakubwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)