Masikini asiyeweza kuhiji anaweza kumhijia mwengine?

420 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mtu masikini asiyeweza kuhiji mwenyewe. Je, anaweza kuhiji kwa ajili ya mtu mwingine?

Jibu: Hapana, mpaka ahiji mwenyewe.

421 – Nikasema kwamba yeye hana uwezo.

Jibu: Hata kama.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 138
  • Imechapishwa: 23/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´