Mashindano ya Qur-aan na kupokea tunuku

Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya mashindano kwa ajili ya kuhifadhi Qur-aan tukufu? Je, inafaa kuchukua tunuku juu ya hilo?

Jibu: Ndio. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Hakika kilicho na haki zaidi ya kuchukuliwa malipo ni Kitabu cha Allaah.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (98) https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18006
  • Imechapishwa: 22/05/2019