Marashi yenye asilimia kidogo ya pombe

Swali 109: Vipi kuhusu marashi yenye pombe?

Jibu: Ikiwa marashi ni mengi na hayaleweshi, basi hayadhuru.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 61
  • Imechapishwa: 17/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´