Swali: Ni kigezo gani cha maradhi kinachoruhusu mtu kufanya Tayammum pamoja na kuwepo kwa maji?
Jibu: Maradhi yanayomruhusu mtu Tayammum ni yale ambayo akitumia maji anaogopa kwamba maradhi yataongezeka au jeraha litachelewa kupona.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/345)
- Imechapishwa: 26/11/2026
Swali: Ni kigezo gani cha maradhi kinachoruhusu mtu kufanya Tayammum pamoja na kuwepo kwa maji?
Jibu: Maradhi yanayomruhusu mtu Tayammum ni yale ambayo akitumia maji anaogopa kwamba maradhi yataongezeka au jeraha litachelewa kupona.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/345)
Imechapishwa: 26/11/2026
https://firqatunnajia.com/maradhi-yanayomruhusu-mtu-kufanya-tayammum/