Swali: Je, Tayammum moja inatosheleza badala ya kuoga na kutawadha au ni lazima kufanya Tayammum mbili?
Jibu: Tayammum moja inatosheleza badala ya twahara ya hadathi zote kubwa na ndogo, ikiwa amekusudia kufanya hivyo.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/349)
- Imechapishwa: 26/11/2026
Swali: Je, Tayammum moja inatosheleza badala ya kuoga na kutawadha au ni lazima kufanya Tayammum mbili?
Jibu: Tayammum moja inatosheleza badala ya twahara ya hadathi zote kubwa na ndogo, ikiwa amekusudia kufanya hivyo.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/349)
Imechapishwa: 26/11/2026
https://firqatunnajia.com/tayammum-moja-badala-ya-kuoga-au-tayammum-mbili/