Maradhi yakimzidi mtu bora ajisomee Ruqyah au asomewe?

Swali: Nikihisi kuwa na maradhi katika nafsi yangu na udhaifu nitafute wa kunisomea Ruqyah au bora zaidi niwe na subira na kujisomea mwenyewe?

Jibu: Bora zaidi ni kujisomea mwenyewe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%2027-3-1435.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020