Swali: Kuna wanaodai kwamba muziki ni dawa ya baadhi ya maradhi. Je, jambo hili ni la sawa Kishari´ah?
Jibu: Muziki wenyewe ni maradhi. Maradhi hayatibiwi kwa maradhi mengine. Hayatibiwi kwa muziki. Maradhi yanatibiwa kwa kumdhukuru Allaah, kisomo cha Qur-aan na matabano yenye kukubalika katika Shari´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
- Imechapishwa: 12/01/2018
Swali: Kuna wanaodai kwamba muziki ni dawa ya baadhi ya maradhi. Je, jambo hili ni la sawa Kishari´ah?
Jibu: Muziki wenyewe ni maradhi. Maradhi hayatibiwi kwa maradhi mengine. Hayatibiwi kwa muziki. Maradhi yanatibiwa kwa kumdhukuru Allaah, kisomo cha Qur-aan na matabano yenye kukubalika katika Shari´ah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
Imechapishwa: 12/01/2018
https://firqatunnajia.com/maradhi-hayatibiwi-kwa-maradhi-mengine/