Swali: Je, ni katika Sunnah kusoma Suurah ”al-Kahf” siku ya ijumaa? Je, paja ni uchi?
Jibu: Kusoma Suurah ”al-Kahf” siku ya ijumaa kumepokewa baadhi ya Hadiyth zenye udhaifu, lakini zinatiana nguvu zenyewe kwa zenyewe. ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ‘anhumaa) alikuwa akifanya hivo.
Kwa hiyo akiisoma Suurah ”al-Kahf” siku ya ijumaa ni jambo jema.
Kuhusu paja ni uchi kwa mujibu wa mtazamo wa wanzuoni wengi. Kwa hiyo anapaswa kulifunika ndani ya swalah na mbele ya watu pia.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/221)
- Imechapishwa: 26/02/2026
Swali: Je, ni katika Sunnah kusoma Suurah ”al-Kahf” siku ya ijumaa? Je, paja ni uchi?
Jibu: Kusoma Suurah ”al-Kahf” siku ya ijumaa kumepokewa baadhi ya Hadiyth zenye udhaifu, lakini zinatiana nguvu zenyewe kwa zenyewe. ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ‘anhumaa) alikuwa akifanya hivo.
Kwa hiyo akiisoma Suurah ”al-Kahf” siku ya ijumaa ni jambo jema.
Kuhusu paja ni uchi kwa mujibu wa mtazamo wa wanzuoni wengi. Kwa hiyo anapaswa kulifunika ndani ya swalah na mbele ya watu pia.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/221)
Imechapishwa: 26/02/2026
https://firqatunnajia.com/mapaja-ni-sehemu-ya-uchi-ii/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket