Maoni sahihi kuhusu kulala Muzdalifah

Swali: Ni yepi maoni yenye nguvu kuhusu kulala Muzdalifah?

Jibu: Sahihi ni kwamba ni wajibu. Sio nguzo wala Sunnah. Kuna maoni matatu juu yake:

1 – Nguzo.

2 – Wajibu.

3 – Sunnah.

Maoni ya kati na kati ndio yenye nguvu zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23984/ما-حكم-المبيت-في-مزدلفة
  • Imechapishwa: 09/08/2024