567 – Vipi kuhusu maombolezo ya kitaifa na kushusha bendera nusu mlingoti?

Jibu: Ni kitu hakina msingi. Muda wa kukaa eda umefanywa kuwa siku tatu au chini ya hapo, na hayo ni maalum kwa wanawake ambapo wanawakalia eda baba zao au ndugu zao wa kiume. Mwanaume hana hakai eda.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 194
  • Imechapishwa: 12/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´