Swali: Manaswara wengi wa leo hawatendei kazi dini yao kabisa, isipokuwa kujinasibisha peke yake…

Jibu: Allaah (Jalla wa ´Alaa) amehalalisha vyakula vyao ndani ya Kitabu Chake, ingawa anajua watavyokuja kuwa. Amehalalisha (Subhaanah) ameruhusu moja kwa moja ingawa anajua watakavyokuja kuwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 19/10/2023