Manaswara wa leo ni wafuasi wa ´Iysa?

Swali: Manaswara walioko hii leo ni katika wafuasi wa ´Iysaa (´alayhis-Salaam)?

Jibu: Hapana, sio katika wafuasi wa ´Iysaa. Hawafuati dini ya ´Iysaa. ´Iysaa hana lolote kuhusiana na wao. Lakini wao wanajinasibisha naye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 07/01/2021