Swali 161: Je, inafaa kwa mwanamke kuadhini?

Jibu: Hapana, kwani kuadhini na kukimu ni kwa wanaume.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 71
  • Imechapishwa: 28/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´