Swali: Nimeolewa kwa walii lakini pasi na mashahidi. Je, ndoa hii ni sahihi?
Jibu: Mambo ya ndoa na harusi yapelekni mahakani. Sisi hatutoi fatwa katika hayo. Lazima kupatikana vigezo na mengineyo. Haya yanakuwa mahakamani.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-01-05-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Nimeolewa kwa walii lakini pasi na mashahidi. Je, ndoa hii ni sahihi?
Jibu: Mambo ya ndoa na harusi yapelekni mahakani. Sisi hatutoi fatwa katika hayo. Lazima kupatikana vigezo na mengineyo. Haya yanakuwa mahakamani.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-01-05-1435-01.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/mambo-ya-ndoa-yapelekeni-mahakamani/