Mambo ambayo mwenye wake wengi anapaswa kufanya uadilifu kwayo

Swali: Ni mambo yepi ambayo mume aliyeoa wanawake wengi kufanya uadilifu kwayo?

Jibu: Matumizi, makazi, zamu ya usiku na mavazi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
  • Imechapishwa: 18/07/2024