Swali: Kuna mwanamke kutoka Uingereza anasema kuwa mama na dada yake wanaishi mbali na mji wake. Je, inajuzu wakalala kwenye chumba chao maalum wakati wanapotutembelea? Mume wake anasema kuwa haijuzu na ni mchanganyiko usiotakikana.

Jibu: Ni mchanganyiko kati ya wanawake. Inajuzu. Lililo haramu ni mchanganyiko wa wanaume na wanawake ambao sio Mahaarim. Hakuna tatizo mchanganyiko wa wanawake kati yao. Sio haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20-%201%20-%202%20-%201436.mp3