Mama anamwita mtoto wake ilihali anaswali

Swali: Mama anamwita mtoto wake ilihali anaswali. Je, akate swalah na kumuitikia?

Jibu: Asikate swalah. Lakini aifupishe kwa njia ya kwamba asiharakishe uharakishaji wa kuharibu swalah.

´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy

´Abdullaah bin Ghudayyaan

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah nr. (14469)
  • Imechapishwa: 26/05/2022