Mali iliyoandaliwa kujenga msikiti ina Zakaah?

Swali: Kikosi cha wanawake kimekusanya pesa kwa lengo la kujenga msikiti na kumeshapita miaka miwili. Je, ni wajibu kwao kuitolea zakaah?

Jibu: Hapana, haina zakaah. Kwa sababu hii ni swadaqah ya msikiti. Haina umiliki. Hivyo sio wajibu. Hii ni kama mali ya Awqaaf. Mali ya Awqaaf haina zakaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2138
  • Imechapishwa: 12/07/2020