Swali 28: Je, inafaa kusema kwa kuthibitisha ya kwamba fulani katika watoto wa waislamu yuko Peponi?

Jibu: Hapana. Haifai kusema Muhammad mwana wa fulani yuko Peponi. Hata hivyo inafaa kusema kwamba watoto wa waislamu wako Peponi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 36
  • Imechapishwa: 25/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´