Swali: Wakati wa darsa kumethibiti ibara hii “… na haya ndiyo waliyochagua jopo la wanachuoni wengi”. Ni yapi makusudio ya neno “jamhuri”?
Jibu: Jamhuri maana yake ni wengi. Wanachuoni wengi. Lakini ieleweke vyema makusudio ya jamhuri sio maandamano, migomo na vurugu zilizopo hivi leo. Hapana. Makusudio ya jamhuri ni wengi katika wanachuoni na wenye uoni wa mbali.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13221
- Imechapishwa: 05/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket