Makusudio ya neno ´Jamhuri´ linapotajwa

Swali: Wakati wa darsa kumethibiti ibara hii “… na haya ndiyo waliyochagua jopo la wanachuoni wengi”. Ni yapi makusudio ya neno “jamhuri”?

Jibu: Jamhuri maana yake ni wengi. Wanachuoni wengi. Lakini ieleweke vyema makusudio ya jamhuri sio maandamano, migomo na vurugu zilizopo hivi leo. Hapana. Makusudio ya jamhuri ni wengi katika wanachuoni na wenye uoni wa mbali.

Check Also

Hatusemi lolote kuhusu Pepo isipokuwa kwa dalili

Swali: Je, Peponi kuna maamrisho ya kushusha macho chini [kutowaangalia wanawake]? Je, ni sahihi ya …