Swali: Ni yepi makusudio ya jamaa (الآل) zake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Jamaa zake Mtume ni wale wafuasi wake katika dini. Watu wa nyumbani kwake kunaingia pia wakeze wote kukiwemo kizazi cha Haashim ni katika jamaa zake na Maswahabah zake kwa njia ya ufuasi. Kila mfuasi wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye atakuja baada yao ni katika jamaa zake. Allaah (Ta´ala) amesema:
أَدْخِلُوا آلَ فِرْعَوْنَ أَشَدَّ الْعَذَابِ
“Waingizeni watu wa Fir’awn katika adhabu kali kabisa!”[1]
Bi maana wafuasi wa Fir´awn.
[1] 40:46
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (01)
- Imechapishwa: 13/05/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)