Swali 291: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kuoanisha kati ya Hadiyth:

“Msiwatukane  maiti… ”

na:

“Mmemsifia kwa uovu…”?

Jibu: Huenda makusudio ni kwamba asitukanwe na wala yasitajwe yale yaliyofichika katika matendo yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 107
  • Imechapishwa: 22/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´