19Usimkopeshe ndugu yako Mwisraeli kitu kwa riba; usimtoze riba juu ya mkopo wa fedha, chakula, au chochote ambacho watu hukopesha kwa riba. 20Unaweza kutoza riba unapomkopesha mgeni, lakini ndugu yako Mwisraeli usimtoze riba, naye Mwenyezi Mungu, Mungu wako, atakubariki katika shughuli zako zote utakazofanya katika nchi ambayo unakwenda kuimiliki.
21Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa. 22Lakini ukiacha kuweka nadhiri hutakuwa na dhambi. 23Uwe mwangalifu kutimiza nadhiri uliyotamka kwa mdomo wako, maana ulimwahidi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa hiari yako.
- Marejeo: Kumbukumbu la Sheria 23:19
- Imechapishwa: 03/02/2020

Marejeo: Kumbukumbu la Sheria 23:19
Imechapishwa: 03/02/2020
https://firqatunnajia.com/makatazo-ya-kula-ribaa-na-kutotekeleza-nadhiri-katika-biblia/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)