Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kusema kwamba sisi hatupigani na mayahudi kwa sababu ya imani, bali tunapigana nao kwa sababu wamepora nchi yetu ya Palestina? Hakuna uadui kati yetu sisi na wao isipokuwa ni kwa sababu ya ardhi peke yake.
Jibu: Haya ni maneno batili. Makafiri wanapigwa vita kwa kuwavamia na kwa ajili ya kujihami. Wanapigwa kwa kuvamiwa pale ambapo waislamu wana nguvu. Wanatakiwa kuwashambulia katika miji yao kwa lengo la kueneza Uislamu. Wanatakiwa kuwashambulia vilevile kwa kujitetea pale ambapo wato watawavamia waislamu katika miji yao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/03.mp3
- Imechapishwa: 29/09/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)