Swali: Maji yakichanganyika na sabuni yanazingatiwa kuwa ni masafi yanayoweza kusafisha nguo?
Jibu: Ndio, hakuna neno. Sabuni ni safi. Haiathiri. Iko kwa ajili ya usafi. Ni kama mfano wa mkunazi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameamrisha maiti aoshwe kwa maji na mkunazi. Sabuni haidhuru. Maji yakichanganyika na sabuni hayadhuriki.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Maji yakichanganyika na sabuni yanazingatiwa kuwa ni masafi yanayoweza kusafisha nguo?
Jibu: Ndio, hakuna neno. Sabuni ni safi. Haiathiri. Iko kwa ajili ya usafi. Ni kama mfano wa mkunazi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameamrisha maiti aoshwe kwa maji na mkunazi. Sabuni haidhuru. Maji yakichanganyika na sabuni hayadhuriki.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/maji-yenye-kuchanganyika-na-sabuni-%e2%80%82/