Nilimwambia Ahmad:

”Vipi kuhusu mfungaji ambaye maji yameingia kooni mwake wakati alipokuwa akisukutua mdomo?” Akasema: ”Hapana vibaya ikiwa hakukusudia.”

Ishaaq pia amesema vivyo hivyo.

  • Muhusika: Imaam Ishaaq bin Mansuur al-Kawsaj al-Marwaziy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad bin Hanbal wa Ishaaq bin Raahuuyah (684)
  • Imechapishwa: 01/03/2025