Swali: Je, maiti hujua anayekuja kumtembelea na anamuona kama walivyosema hivyo baadhi ya wanachuoni?
Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Mimi nimewaambieni mambo ya ndani ya kaburi hakuna mwenye kuyajua isipokuwa Allaah na hakusemwi chochote juu yake isipokuwa kwa kuwepo dalili sahihi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2138
- Imechapishwa: 12/07/2020
Swali: Je, maiti hujua anayekuja kumtembelea na anamuona kama walivyosema hivyo baadhi ya wanachuoni?
Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Mimi nimewaambieni mambo ya ndani ya kaburi hakuna mwenye kuyajua isipokuwa Allaah na hakusemwi chochote juu yake isipokuwa kwa kuwepo dalili sahihi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2138
Imechapishwa: 12/07/2020
https://firqatunnajia.com/maiti-hujua-na-kumuona-anayemtembelea/