Maiti aliyekufa na deni hali ya kuwa na azma ya kulilipa

Swali 318: Je, iwapo jeneza litasogezwa mbele kuulizwe kama yuko na deni au hapana?

Jibu: Mwenye kufa hali ya kuwa na deni na hakuweza kulipa, basi Allaah atamlipia ikiwa ni mkweli.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 112
  • Imechapishwa: 25/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´