Maisha kuendelea baada ya jua kuchomoza magharibi

38 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu jua kuchomoza kutoka magharibi. Je, baada yake kuna maisha?

Jibu: Ndio.

39 – Je, linarejea hali yake ya kawaida?

Jibu: Ndio.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 38
  • Imechapishwa: 07/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´