Swali: Je, mahujaji wanalazimika kuswali swalah ya ijumaa au swalah ya Dhuhr ikizingatiwa kwamba siku inayofuata kesho ni ijumaa?

Jibu: Wanapaswa kuswali Dhuhr. Pia inasihi endapo wataswali swalah ya ijumaa pamoja na wale wanaolazimika kuhudhuria.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/201)
  • Imechapishwa: 12/03/2026