Swali: Ni ipi hukumu ya kufupisha swalah kwa anayefanya hajj wakati wa kukaa kwake Makkah zaidi ya siku nne?
Jibu: Ikiwa kukaa kwa mwenye kufanya hajj Makkah ni siku nne au chini ya hapo, basi Sunnah kwake ni kuswali swalah zenye Rak´ah nne kuziswali Rak´ah mbilimbili. Hivo ndivo alivyofanya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika hajj ya kuaga. Ama ikiwa amekusudia kukaa zaidi ya siku nne, basi lililo la tahadhari zaidi ni kuswali Rak´ah nne, maoni ambayo ndio ya kikosi kikubwa cha wanazuoni.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/201)
- Imechapishwa: 12/03/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kufupisha swalah kwa anayefanya hajj wakati wa kukaa kwake Makkah zaidi ya siku nne?
Jibu: Ikiwa kukaa kwa mwenye kufanya hajj Makkah ni siku nne au chini ya hapo, basi Sunnah kwake ni kuswali swalah zenye Rak´ah nne kuziswali Rak´ah mbilimbili. Hivo ndivo alivyofanya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika hajj ya kuaga. Ama ikiwa amekusudia kukaa zaidi ya siku nne, basi lililo la tahadhari zaidi ni kuswali Rak´ah nne, maoni ambayo ndio ya kikosi kikubwa cha wanazuoni.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/201)
Imechapishwa: 12/03/2026
https://firqatunnajia.com/mahujaji-au-wenye-kufanya-umrah-walionuia-kukaa-zaidi-ya-siku-nne-makkah/