Swali: Ni ipi hukumu ya kujipaka mafuta mwilini mchana wa Ramadhaan kwa sababu mafuta haya yanafyonzwa na ngozi?
Jibu: Hakuna neno kufanya hivo kwa mfungaji kujipaka mafuta mwili mzima au baadhi ya viungo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Nuur ´alaad-Darb https://binbaz.org.sa/fatwas/14625/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%A7%D8%B3%D8%AA%D8%B9%D9%85%D8%A7%D9%84-%D8%A7%D9%84%D8%AF%D9%87%D8%A7%D9%86-%D9%81%D9%8A-%D9%86%D9%87%D8%A7%D8%B1-%D8%B1%D9%85%D8%B6%D8%A7%D9%86
- Imechapishwa: 03/05/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket