Madhambi yalivyoigeuza Ka´bah nyeusi

Swali: Je, ni sahihi kwamba jiwe jeusi limetoka Peponi?

Jibu: Limepokelewa hilo katika Hadiyth nzuri ya kwamba liliteremka kutoka Peponi likiwa jeupe kama maziwa, kisha madhambi ya washirikina yakaligeuza likawa jeusi. Ameipokea at-Tirmidhiy na wengine. Hadiyth hiyo ni nzuri.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30946/ما-صحة-حديث-ان-الحجر-الاسود-من-الجنة
  • Imechapishwa: 14/09/2025