Machukizo ya muislamu kuswali kwa kuuelekea moto

Swali 226: Machukizo ya muislamu kuswali na mbele yake kuna moto ni ya uharamu au ya machukizo tu?

Jibu: Kinachotambulika kwa wanazuoni ni kwamba ni ya makatazo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 92
  • Imechapishwa: 02/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´