Machukizo ya kufumba macho ndani ya swalah


Swali: Ni ipi hukumu ya kufumba macho wakati wa kuswali ni mamoja wakati wa kusimama, Rukuu´ au Sujuud?

Jibu: Kitu hicho kimechukizwa.

´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy

´Abdullaah bin Ghudayyaan

´Abdullaah bin Qu´uud

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah (8734)
  • Imechapishwa: 14/05/2022