Swali: Ni yapi maoni yako kwa mwenye kusema kuwa maandamano ni katika Jihaad katika njia ya Allaah?
Jibu: Ni muongo. Maoni yetu ni kwamba mwongo. Maandamano sio katika Jihaad bali ni katika uharibifu na ni katika matendo ya makafiri. Waislamu hawakuwa wanayajua wala katika historia ya Uislamu hakuna maandamano. Haya ni katika matendo ya makafiri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (58) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13521
- Imechapishwa: 16/11/2014
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)