Maandamano dhidi ya mtawala kafiri II

Swali: Inajuzu kufanya maandamano dhidi ya mtawala kafiri?

Jibu: Haijuzu kufanya maandamano kwa kuwa yanasababisha kumwaga damu, kuharibu manyumba, kuharibu mali. Na si njia ya kuifikia haki kwa kufanya maandamano, bali inakuwa kwa njia zilizowekwa katika Shari´ah. Kwa sharti la uwezekano wa kuifikia haki kwa njia za Kishari´ah.

Check Also

Tofauti ya wanawake wa leo na Maswahabah wa kike

Swali: Siku hizi twasikia sana kwamba mke si lazima kumhudumia mume wake kama vile kupika …