Swali: Nini makusudio kwamba mwenye kunywa pombe swalah zake hazikubaliwi kwa muda wa siku arobaini? Je, anatakiwa kuacha swalah?
Jibu: Hapana, hapana, hatoacha. Lakini anakosa thawabu zake. Ni kama ambaye anamwendea mpiga ramli hazitokubaliwa swalah zake kwa muda wa nyusiku arobaini. Swalah inasihi lakini anakosa thawabu zake. Akiacha swalah anakufuru.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24559/ما-معنى-عدم-قبول-صلاة-شارب-الخمر
- Imechapishwa: 01/11/2024
Swali: Nini makusudio kwamba mwenye kunywa pombe swalah zake hazikubaliwi kwa muda wa siku arobaini? Je, anatakiwa kuacha swalah?
Jibu: Hapana, hapana, hatoacha. Lakini anakosa thawabu zake. Ni kama ambaye anamwendea mpiga ramli hazitokubaliwa swalah zake kwa muda wa nyusiku arobaini. Swalah inasihi lakini anakosa thawabu zake. Akiacha swalah anakufuru.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24559/ما-معنى-عدم-قبول-صلاة-شارب-الخمر
Imechapishwa: 01/11/2024
https://firqatunnajia.com/maana-ya-swalah-kutokukubaliwa-kwa-muda-wa-siku-arobaini/